Kisiwa cha Zanzibar kimejaaliwa kuwa na kila aina ya vituko na migongano ya aina kwa aina... Kwa ufupi napenda kutoa maoni yangu juu ya vituko hivyo, aidha kujua wengine wanamtazamo gani kuhusu vituko hivyo...
Posted by Kibunango at 15:33
Labels: Baibui, buying fish, Dafu, Ijumaa, open market, Stone Town, Zanzibar, Zenj
3 comments:
Jifunze kiswahili kwanza halafu ndio uandike masuala ya Zanzibar.
Sio "Pilika", kiswahili fasaha ni "Pirika".
duuhh mrfrosty
mrfroast: Haya bingwa wa lugha!
Post a Comment