Kisiwa cha Zanzibar kimejaaliwa kuwa na kila aina ya vituko na migongano ya aina kwa aina... Kwa ufupi napenda kutoa maoni yangu juu ya vituko hivyo, aidha kujua wengine wanamtazamo gani kuhusu vituko hivyo...
kwako kibwengo aaah sorry! kibunwengo. Nimekubali kuwa hiyo ndio zenj ya leo. Kilichonifurahisha hapo ni kiuwa ZANZIBAR ni sehemu pekee ambayo unaweza kukaa uchi wa mnyama kibandani kwako na ikakubidi ufiche uso wako wataalam wasije wakakutia mkononi. mwache aoneshe uso wake basi akutane na wataalamu wenye ndevu.
3 comments:
mambo hayoo ankoo kasi kubwa sana hiyo lakini umetembea mpaka wapi anko inafaa na sisi tuje huko
Karibu sana Zenj...!
kwako kibwengo aaah sorry! kibunwengo.
Nimekubali kuwa hiyo ndio zenj ya leo.
Kilichonifurahisha hapo ni kiuwa ZANZIBAR ni sehemu pekee ambayo unaweza kukaa uchi wa mnyama kibandani kwako na ikakubidi ufiche uso wako wataalam wasije wakakutia mkononi.
mwache aoneshe uso wake basi akutane na wataalamu wenye ndevu.
Post a Comment